# kwa hakika lazima auawe
"Lazima mwue"
# Msimruhusu ... kurudi kwenye mali zake
M"simruhusu ... kuondoka kwenye ule mji wa ukimbizi nakurudi nyumbani kuishi kwenye mali zake"
# kwa namna yeyote
"kwa kupokea fidia"