# Mwenye kulipa kisasi cha damu
"Mtu yule ambaye anamlipizia mwuaji"
# atamshinda mtu yeyoteyule anayemchukia
"atamzidi nguvu mtu fulani" au "amemtendea kwa ujeuri mtu fulani"
# yule mtuhumiwa aliyempiga hakika atauawa
"mtuhumia lazima auawe"