sw_tn/num/32/31.md

12 lines
166 B
Markdown

# Tutavuka tukiwa na silaha zetu
"Tutavuka Yorodani tukiwa tayari kwa vita"
# urithi wetu
"Sehemu ya ardhi ambayo tutaridhi"
# utabaki upande huu
"utakuwa wetu"