sw_tn/num/32/04.md

24 lines
629 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Watu kutoka kwa Reubeni na Gadi wanaendelea kuongea na Musa, Eliezeri, na viongozi wengine
# Haya ni maeneno ambayo BWANA laichukua mbele ya watu wa Israeli
"ardhi ambayo BWANA ametuwezesha kuwaangamiza watu waishio ndani yake"
# Sisi watumishi wako
watu wa Reubeni na Gadi wantumia lugha hii kuonesha unyenyekevu wao kwa mtu mwenye mamlaka ya juu.
# kama tumepata kibali mbele ya macho yako
"kama tumepata kibali kwako" au "kamaumependezwa na sisi"
# tunaomba ardhi hii tupewe
"utupe ardhi hii"
# Usituvushe ng'ambo ya Yorodani
"Usituvushe ng'ambo ya Yorodani ili kupata umiliki wa ardhi kule"