|
# Uwalipizie kisasi Wamidiani kwa kile walichowafanyia Waisraeli
|
|
|
|
BWANA alikuwa anawaadhibu Wamidiani kwa sababu waliwashawishi kuabudu masanamu
|
|
|
|
# utakufa na kukusanyika nawatu wako
|
|
|
|
Ni tafsida ya Musa kufa n a roho yake kwenda kule ambako mababu zake waliko
|