sw_tn/num/28/19.md

28 lines
372 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kumwambia Musa kile ambacho watu wanapaswa kufanya
# mtatoa sadaka iliyotengenezwa kwa moto
mtateketeza sadaka madhabahuni
# sehemu za tatu za efa
"lita sita"
# iliyochanganywa na mafuta
"ambayo umeichanganya na mafuta"
# sehemu za pili
takribani lita 4.5
# sehemu ya kumi ya efa
"lita 2"
# kufanya upatanisho
"kupatana"