436 B
436 B
na kumweka mbele ya
"na akamwambia kusimama mbele ya"
Akaweka mikono yake juu yake na kumwamuru aongoze
kiwakilishi "a" kinamaanisha Musa, na kiwakilishi "ku" kinamwakilisha Joshua.
Akaweka mikono yake yake
Kitendo cha kuweka mikono ilikuwa njia ya kumweka mtu wakfu ili afanye kazi maalumu ya Mungu.
aongoze
"kuwa kiongozi wa Waisraeli"
kama BWANA alivyokuwa amemwamuru kufanya
kiwakilishi "mu" kinamwakilisha Musa