333 B
333 B
Hakuna uganga utakaofanyika dhidi ya Yakobo ... hakuna uchawiutakaomwumiza Israeli
Virai hivi vinamaanisha kitu kilekile kwamba; hakuna laana ambayo mtu yeyote ataifanya katika taifa la Israaeli itakayofanikiwa.
Itasemwa
"watu watasema"
Tazama kile ambacho Mungu amefanya
"Yatazame mambo mazuri ambayo Mungu amewafanyia!"