469 B
469 B
Basi BWANA akafungua macho ya Balaamu, na akamwona malaika wa BWANA
"Kisha BWANA akampa Baalamu uwezo wa kumwonamalaika wa BWANA"
akiwa na upanga mkononi mwake
Tazama 22:21
Balaamu akainamisha kichwa chake chini
Balaamu akajinyenyekeza
Kwa nini umempiga punda wako mara tatu
"usingempiga punda wako mara tatu
kama adui yako
"ili kukupinga"
Kama asingekuwa amegeuka kutoka kwangu... ningekuwa nimekuua na yeye kumwacha hai
punda alimwokoa Balaamu