353 B
353 B
mtu aliyesafi
Mtu aliyesafi na anayeweza kufanya takatifu alihesabiwa kuwa ni msafi.
Majivu haya yatatunzwa
"Mtatayatunza haya majivu"
kwenye eneo safi
Kukubalika kwa kunamaanisha kuwa msafi. "Eneo linalokubalika"
atabaki najisi
Kutokukubalika kwa Mungukulionyesha kutoruhusiwa kufanyakazi yeyote takatifu. Ni ile hali ya kutokuwa msafi.