Sentensi unganishi
Joshua na Kalebu wanaendelea kuongea na watu
Tutawateketeza kwa urahisi kama kula chakula
"Tutawatekeza kwa urahisi kama tuwezavyo kula chakula
Ulinzi wao utakuwa umeondolewa
"BWANA atawaondolea ulinzi wao"
Ulinzi wao
"Yeyote ambaye atajaribu kuwalinda"