sw_tn/num/12/06.md

16 lines
459 B
Markdown

# Lakini si hivyo kwa mtumishi wangu Musa
"Siongei na Musa kwa namna hiyo"
# Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu
Nyumba hapa inamaanisha taifa la Israeli. Musa amawaongoza watu wangu kwa uamiinifu" au Musa ndiye ninayemwamini kuwaongoza watu wangu Usraeli"
# Kwa nini hamuogopi kumnenea kinyume mtumishi wangu Musa?
"Mnapaswa kuogopa kumnenea kinyume mtumishi wangu, dhidi ya Musa"
# kinyume, cha mtumishi wangu Musa
kinyume cha mtumishi wangu, Musa