315 B
315 B
Nanyi mtakapoenda vitani ... wanaowakandamiza
"Waisraeli wanapokuwa vitani ... kwa wale wanaowakandamiza Waisraeli"
ndipo mtakapotoa sauti ya ishara ya tarumbeta
"basi utawaamuru makuhani kupiga sauati ya tarumbeta "
nitawaita na kuwakumbuka
Kirai cha " kuwaita" kinamanisha kuwakumbuka. "Nitawakumbuka"