awaangazie nuru ya uso wake
Hii ninahau inayomanisha "BWANA atoe tabasamu lake"
awatazame kwa neema
"akuonyeshe neema"
BWANA awaangazie nuru ya uso wake ...na awape amani
Kiwakilishi cha "a" ni cha umoja
wanaweza kuwapa jina langu
"watawafanya watu wa Israeli wajue kuwa wao ni wangu"