12 lines
396 B
Markdown
12 lines
396 B
Markdown
# Idadi yote ya kambi ya Yuda ni 186,400
|
|
|
|
Idadi hii inajumuisha wanaume wote katika makabila ambayo yalikuwa yameweka kambi kufuata mahali pa Yuda. "Idadi ya wanaume waliokuwa wameweka kambi ya Yuda ni 186,400.
|
|
|
|
# Watakuwa wa kwanza kuondoka
|
|
|
|
Hii inamaanisha kuwa watakuwa wa kwanza wakati kambi za Waisraeali zitakapoondoka. "Wakati wa kusafiri watakuwa wa kwanza kuondoka.
|
|
|
|
# wa kwanza
|
|
|
|
"wa 1"
|