sw_tn/jer/49/03.md

16 lines
229 B
Markdown

# Piga kelele
Lia kwa nguvu
# Binti za Raba
Wanawake katika mji wa Raba
# Kwa nini unajisifu kwa nguvu zako?
"Hutakiwi kujisifu kwa sababu hauna nguvu."
# Nani atakuja dhidi yangu?
"Mnafikiri kuwa hakuna atakayewashinda."