# upanga, njaa na tauni
Neno "upanga" linaelezea vita.
# wakimbizi au waliopona
Haya maneno yote yanafanana. Mkimbizi ni mtu anayemtoroka mtu anayetaka kumuua au kumchukua mateka.