sw_tn/jer/40/13.md

398 B

Yohana ... Karea

Haya ni majina ya watu.

Gedalia

Hili ni jina la mtu.

Unafahamu kuwa mfalme Baalisi wa watu wa Amoni alimtuma Ishamaeli Mwana wa Nethania akuue?

"unapaswa kufahamu kuwa Baalisi Mfalme wa watu wa Amoni alimtuma Ishmaeli mwana wa Nethania ili akuue"

Baalisi

Hili ni jina la Mfalme

Ishmaeli mwana wa Nethania

Haya ni majina ya watu.

Ahikamu

Hili ni jina la mtu.