|
# Mungu wa Israeli
|
|
|
|
"Mungu wa wana wa Israeli"
|
|
|
|
# Mji huu hautachomwa moto
|
|
|
|
"jeshi la Babeli halitachoma moto mji huu"
|
|
|
|
# mji huu utatiwa mikononi mwa Wakaldayo
|
|
|
|
"Nitaruhusu Wakaldayo wauteke mji huu"
|
|
|
|
# Hamtakimbia toka kwenye mikono yao
|
|
|
|
"hamtakimbia toka kwenye nguvu yao"
|