16 lines
761 B
Markdown
16 lines
761 B
Markdown
# Neno la Yahwe lika kwa.
|
|
|
|
Angalia 1:1
|
|
|
|
# Aganano langu la mchana na usiku ... agano langu na Daudi mtumishi wangu.
|
|
|
|
Yahwe analilinganisha na mchana na usiku agano lake na Daudi. Kama vile mtu asivyoweza kuubadilisha amchana na usiku, ndivyo pia mtu asivyoweza kulibadilisha agano la Mungu na Daudi.
|
|
|
|
# Kuketi juu ya kiti chake cha enzi.
|
|
|
|
"Kuutawala ufalme aliopewa."
|
|
|
|
# Kama vile majeshi ya mbinguni yasivyoweza kuhesabika, na kama vile mchanga wa ufukwe wa bahari usivyoweza kupimwa, ndivyo nitakavyouongeza uzao wa Daudi mtumishi wangu na Walawi watumikao mbele zangu.
|
|
|
|
Sentensi hizi mbili kimsingi zina maana moja na zinaelezea wazo au kitu kimoja. Hivyo zimetumikakwa pamoja ili kuleta msisitizo kuhusu jambo analozungumza Mungu kuhusu Daudi na uzao wake.
|