sw_tn/jer/26/01.md

12 lines
273 B
Markdown

# Miji ya Yuda.
"Watu kutoka miji ya Yuda."
# Usipunguze neno lolote!
"Usiache kufanya kitu chochote nilichokuambia!"
# Ili kwamba nighairi majanga ninayotaka kuyafanya.
Haya ni maelekezo yenye masharti. Kama Yuda watatubu, basi Mungu hatawaangamiza, bali atawaponya.