16 lines
447 B
Markdown
16 lines
447 B
Markdown
# Angalia
|
|
|
|
"Jihadharini na hii!" Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 5:14
|
|
|
|
# dhoruba kubwa itatokea toka pande za mwisho za dunia
|
|
|
|
"uharibifu unakuja"
|
|
|
|
# watakuja kutoka upande mmoja wa dunia hadi mwingine
|
|
|
|
"je, siku hiyo itafunika dunia nzima"
|
|
|
|
# Watakuwa kama samadi chini.
|
|
|
|
Maana iwezekanavyo ni 1) kulikuwa na watu wachache au hakuna watu waliokubali kuzika wale ambao Bwana aliwaua au 2) kulikuwa na ukosefu wa wasiwasi wa miili ya wafu.
|