12 lines
401 B
Markdown
12 lines
401 B
Markdown
# e, majani yanahusiana na nafaka?
|
|
|
|
"Majani na nafaka ni vitu viwili tofauti kabisa."
|
|
|
|
# Na neno langu si kama moto? -Hili ni tamko la Bwana-na kama mwamba wenye kupiga nyundo?
|
|
|
|
"Maneno yangu ni kama moto unaovuna na wenye nguvu," asema Bwana, "na kama nyundo inayovunja mwamba vipande vipande."
|
|
|
|
# kama nyundo inayovunja mwamba vipande vipande
|
|
|
|
"kama nguvu kama nyundo ambayo inaweza kuponda mwamba"
|