534 B
534 B
wafalme wanaoketi kiti cha Daudi
Hii inahusu wafalme wenye mamlaka kama Daudi. Wafalme, wanatawala kama Daudi mbele yao
wakiendesha gari na farasi
Maneno haya yanaelezea wafalme kama wenye nguvu na matajiri.
yeye, watumishi wake, na watu wake
Sentensi hii inaorodhesha wote ambao watakuwa na nguvu na matajiri. "yeye, watumishi wake, na watu wake watapanda ngome juu ya magari na farasi"
ikiwa husikiliza
"ikiwa husikiliza" (UDB) au "ikiwa hutii"
hili ni tamko la bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.