sw_tn/jer/20/16.md

32 lines
876 B
Markdown

# mtu yule
Hii inahusu mtu aliyemwambia baba wa Yeremia ya kuzaliwa kwa Yeremia.
# miji ambayo Bwana aliiangamiza
Hii inahusu Sodoma na Gomora.
# hakuwa na huruma
Hapa neno "yeye" linamaanisha Bwana.
# Yeye kusikia sauti ya msaada
apa neno "yeye" linamaanisha "mtu yule"
# kumfanya mama yangu kaburi langu
Tumbo la mama yake Yeremia lingekuwa limehifadhi mwili wake mfu kama kaburi linavyoweka mwili wa marehemu.
# Kwa nini nilitoka tumboni ili kuona matatizo na uchungu.....aibu?
Yeremia anatumia swali hili kulalamika kwamba hapakuwa na sababu nzuri ya kuzaliwa. AT "Hakukuwa na sababu ya mimi kuzaliwa tu kuona matatizo na uchungu ... aibu."
# kuona matatizo na uchungu
Maneno "matatizo" na "uchungu" inamaanisha kuwa ni sawa na kusisitiza kiasi na ukali wa mateso. AT "kupata uzoefu mkubwa wa mateso."
# siku zangu zimejaa aibu
"maisha yangu yamejaa aibu"