404 B
404 B
Lazima tumshitaki
Adui wa Yeremia wanasema maneno haya.
Labda anaweza kudanganywa.....kujilipiza kisasi kwake
Adui wa Yeremia wanasema maneno haya.
Labda anaweza kudanganywa
"Pengine tunaweza kumdanganya"
Bwana yu pamoja nami kama mpiganaji mwenye nguvu
Bwana ni kama shujaa mwenye nguvu ambaye humlinda Yeremia na kuwashinda adui zake.
hawawezi kusahau kamwe
"watu hawatasahau kamwe"