36 lines
1.2 KiB
Markdown
36 lines
1.2 KiB
Markdown
# Taarifa za jumla
|
|
|
|
Katika aya hii, Yeremia anaongea na Bwana juu ya mateso yake, na Bwana anamjibu
|
|
|
|
# Ole wangu, mama yangu
|
|
|
|
Yeremia anajifanya kuwaambia mama yake kama njia ya kusisitiza jinsi yeye alivyo na huzuni.
|
|
|
|
# mtu wa kushindana na hoja
|
|
|
|
Maneno '"kushindana" na "hoja" husema kimsingi kitu kimoja. Pamoja wanasisitiza jinsi Yeremia anavyopinga. AT "mtu ambaye kila mtu anasema wakati wote."
|
|
|
|
# kulipa
|
|
|
|
kutoa mkopo kwa mtu
|
|
|
|
# Je sitakuokoa kwa manufaa?
|
|
|
|
Jibu thabiti kwa swali hili ni "ndiyo". AT "Nitakuokoa kwa uzuri!"
|
|
|
|
# maadui zako
|
|
|
|
Wale ni maadui wa Yeremia ambao hawakukubaliana na unabii wake
|
|
|
|
# wakati wa msiba na dhiki
|
|
|
|
Hapa maneno "msiba" na "dhiki" inamaanisha kimsingi kitu kimoja. Wanasisitiza kiasi au ukubwa wa msiba. AT "wakati wa msiba mkubwa."
|
|
|
|
# Je, mtu anaweza kusaga chuma?
|
|
|
|
Jibu linalojulikana ni "hapana". Pia, chuma kinawakilisha uamuzi wa hukumu ya Mungu. AT "Hukumu yangu haiwezi kuvunjika, kama vile chuma haiwezi kupasuka"
|
|
|
|
# Hasa chuma kutoka kaskazini iliyochanganywa na shaba?
|
|
|
|
Swali hili la pili hufanya kwanza kuwa na nguvu zaidi, na hutumia chuma cha nguvu zaidi katika mfano. AT "Zaidi zaidi, hukumu yangu ni kama chuma chenye kigumu"
|