450 B
450 B
Taarifa za jumla
Bwana amewaambia kamwe hakuna mtu atakayejali juu yao na kwamba atawaangamiza watu wake kwa sababu hawatageuka njia zao mbaya.
wajane
wanawake ambao waume zao wamekufa
zaidi ya mchanga wa bahari
zaidi ya unavyoweza kuhesabu
kuanguka juu yao
yaliyo wapata
Yeye atakuwa na aibu na kufedheheka
Maneno "aibu" na "kufedheheka" inamaanisha kimsingi kitu kimoja na kusisitiza ukubwa wa aibu. AT "Atakuwa na aibu kabisa."