423 B
423 B
wanaopiga
kushambulia na kukamata
aliwafanya watu wangu wa Israeli wamiliki
"aliwapa watu wangu Israeli kama warithi"
kuamgamiza
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1 9.
nami nitainua nyumba ya Yuda kutoka kati yao
kuruhusu watu wa Yuda kuondoka nchi zao za adui na kurudi kwa Yuda
futa
au "kupoteza"
Ninataangamiza mataifa hayo
"nawafanya mataifa hayo kutoka nchi zao na kuhamia maeneo tofauti"