608 B
608 B
unawezaje kushindana dhidi ya farasi?....utafanyaje katika misitu karibu na Yordani?
Maswali haya mawili yanalenga kutoa taarifa. AT "huwezi kushindana vizuri dhidi ya farasi ... utashindwa katika misitu karibu na Yordani."
Ikiwa unashuka chini ya nchi iliyo salama
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri kifungu hiki kwa Kiebrania kama 'Ikiwa unajisikia salama katika nchi ya salama.'
nchi iliyo salama
Hii inahusu nchi ya wazi, ambapo ni rahisi kusafiri haraka, kinyume na vichaka vilivyomo karibu na Mto Yordani, ambako ni vigumu kuhamia.
misitu
vichaka vingi au miti midogo inakua karibu