720 B
720 B
Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA
siku zinakuja
"kutatokea wakati"
asema BWANA
Tazama 1:7
nitakapowaadhibu wote ambao hawajatahiriwa ambao wako hivyo hivyo katika miili yao
Hii inamaanisha watu wa Israeli ambao wameingia katika agano la BWANA kwa kutahiriwa ki mwili, lakini hawakufuata sheria zake.
Na watu wote wanaonyoa denge
Hii inawezekana kumaanisha wale watu wanaokata nywele zao kuwa fupi kwa lengo la kuabudu miungu ya kipagani.
Kwani mataifa yote haya hayajatahiriwa
"Kwa sababu mataifa yote haya hayajaingia kwenye agano na BWANA kwa njia ya tohara."
na nyumba yote ya Israeli ina moyo ambao haujtahiriwa.
"na nyumba yote ya Israeli hawajalinda agano LA BWANA kwa kumtii."