sw_tn/jer/09/19.md

24 lines
681 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Haya ni maneno ya BWANA juu ya watu wa Yuda
# Kwa kuwa sauti ya kilio imesikika Sayuni
"Watu wanalia kwa sauti Yerusalemu"
# Jinsi tulivyoharibiwa
"Tunasikitika sana"
# Tumeaibishwa sana, kwa kuwa tumeitelekeza nchi tangu walipoangusha nyumba zetu
"aibu yetu ni kubwa, kwa sababu adui wameharibu nyumba zetu, na tulipaswa kuiacha nchi ya Israeli"
# sikieni neno la BWANA zingatieni ujumbe unaokuja toka kinywani mwake.
Sentensi hizi mbili zinasisitiza amri ya kusikiliza kile ambacho BWANA anasema.
# Kisha wafundisheni binti zenu wimbo wa maombolezo, na kila mwanamke wa jirani wimbo wa kilio.
Kisha wafundisheni watu wengine jinsi ya kuomboleza."