1012 B
1012 B
Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda. Katika mstari wa 12, Yeremia anatoa maoni yake.
Nitaimba wimbo ...kwa ajili ya milima
BWANA anaomboleza kwa ajili ya nchi ya Israeli kana kwamba mtu amekufa.
milima
mahali ambapo wanyama hupata malisho
kwa kuwa wameteketezwa
"kwa kuwa kuna mtu ambaye ameyateketeza hayo malisho
Hawatasikia sauti ya ngombe yeyote
"Hakuna ambaye atasikia sauti ya ng'ombe
maficho ya mbweha
"mahali ambapo mbweha hujificha"
mbweha
mbwa wakali
isiyokaliwa na watu
"mahali ambapo watu hawakai
Ni nani mwenye hekima anayeyaelewa haya
"kama manabii wenu ni wenye hekima kweli, wanapaswa kuelewa kwa nini nchi imeharibiwa
Je, kinywa cha BWANA kinatanga nini kwake ili awaeze kuyasema
"Kama kweli BWANA anasema na manabii wenu, basi wanapaswa kuwaambia kile ambacho BWANA anasema juu ya uharibifu wa nchi."
kwa nini nchi imepotea
"Lakini manabii wenu hawana hekima na BWANA hasemi nao, kwa hio hawajui kwa nini nchi imeharibika"