824 B
824 B
Taarifa kwa ujumla
BWANA anendeleza ujumbe wake juu ya adhabu inayokuja kwa watu wa Yuda
Mkoromo wa farasi wake umesikika kutoka Dani
"Watu wa Dani wanaiasikia sauti ya jeshi la adui likija kuivamia Yuda,"
farasi
farasi dume
Dunia nzima inatikisika
"watu wa nchi wanatikisika kwa hofu"
kwa sababu ya sauti ya kukaribia kwa farasi wake wenye nguvu
"watakaposikia sauti ya farasi mwenye nguvu wa adaui"
sauti ya farasi
sauti ambayo farasi huitoa
kwa kuwa watakuja
Kiwakilishi "wa" kinmaanisha jeshi linalovamia
kuiangamiza nchi
"na kuiharibu nchi."
Ninawatuma nyoka kati yenu
"Ninawatuma askari wa adui ili kuwapigeni ninyi."
fira ambao hawawezi kuzuiliwa kwa uganga
Fira ambao huwezi kuwafukuza kwa uchawi
watawauma
"watawashambulia" au "watawaangamiza"
asema BWANA
Tazama1:7