881 B
881 B
Taarifa kwa ujumla
BWANA anaongea juu ya watu wa Yuda
hawakuongea kilicho sahihi
"hawakusema kilicho sahihi"
uovu wake
"kwa sababu ya uovu wake"
Nimefanya nini
"Nimefanya jambo baya sana"
kila mmoja wao huenda anakotaka
"watu wote wanaendelea kwa bidii kufanya uovu huohuo."
kama farsi aendaye kasi vitani
Watu wanatamani sana kufanya maouvu kama vile farasi hukimbia kwakasi kwenda vitani kwa sababu hutamani kufika kule.
farasi dume
huyu ni farasi dume
Hata koikoi angani hujua wakati sahihi; na njiwa pori, na mbayuwayu, na korongo
Ndege hujua wakati sahihi wakuondoka kwenye nchi ya baridi kwenda kwenye nchi ya joto.
koikoi, njiwa, mbayuwayu na korongo
Hawa ni ndege tofauti ambao hurukka kwenda kwenye maeneo ya joto kabla maeneo yaohayajawa na baridi
huhama kwa wakati sahihi
"huhama kutoka nchi ya baridi kwenda kwenye nchi ya joto"