sw_tn/jer/06/06.md

32 lines
801 B
Markdown

# Kateni miti yake
"Ikateni miti yake" BWANA anawaambia lile jeshi ambalo litaivamia Yerusalemu.
# vifusi vya kuitekea
"vifus." Hivi ni vifisi vya takataka ambavyo vitawawezesha wanajeshi kuziangamiza kuta za Yerusalemu
# kwa sababu umejaa ukandamizaji
"kwa sababu watu wake wanaoneana wao kwa wao"
# Kama vile kisima kitoavyo maji, vivyo hivyo mji huu uzaavyo uovu
Kama vile kisima kinavyobaki na maji, Yerusalemu imebaki na uovu, hata kama BWANA anaiadhibu.
# uharibifu na jeuri vimesikika kwake
"Ninasikia uharibifu na ujambazi kwake."
# Mateso na jeuri viko mbele yangu daima
Daima ninaona ugonjwa na mateso."
# Uadhibishwe, ee Yerusalelmu
"Jifunzeni kutoka kwenye hiyo adhabu yenu, enyi watu wa Yerusalemu.
# nchi isiyokariwa na watu
"nchi ambayo hakuna watu wanaoishi ndani yake"