sw_tn/jer/06/04.md

32 lines
457 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Mflame toka jeshi litaloangamiza anaongea na wanaume walio chiniya mamlaka yake.
# Jitakaseni wenyewe kwa miungu kwa ajil ya vita
"Jiandeni kwa vita kwa kujitakasa na kutoa sadaka kwa miungu"
# Twendeni
"inukeni"
# adhuhuri
"adhuhuri bila kujali kuwa joto ni kali"
# mchana unatoweka
"mchana unafika mwisho
# vinakuja
"vinachomoza"
# usiku
"wakati wa usiku hata kama kuna giza"
# ngome zake
"majengo imara ya Yerusalemu"