Niliiona nchi, na kuiona
Huu ni mwaliko kwa Yeremia kuyatazama maono ambayo Mungu anampatia
ilikuwa ukiwa na utupu
Huu ni unabiiwa jinsi nchiya Israeli it akavyokuwa baada ya watu wote kupelekwa katika utumwa.
Tazama
Neno "tazama" linatuashiria kuwa tayari ili kupokea taarifa zinazofuata