447 B
447 B
itasemwa
"BWANA atasema"
Upepo uwakao kutoka katika nyanda ... upepoulio na nguvu
Moto na adui asiyekuwa na msamaha anakuja
binti wa watu wngu
Taifa limelinganishwa na bibi arusi maalumu katika mahusiano ya kimahaba
Hautapepetwa wala kuwatakasa
"sitaziondoa dhambizao"
Upepo ... utakuja kwa amri yangu
"Upepo huo utaamriwa na Mungu kuja.
kwa amri yangu
"kutoka kwangu"
sasa napitisha hukumu dhid iyao
"natangaza hukumu"