492 B
492 B
Kwa hiyo nitaendelea kuwashitaki
"Kwa hiyo nitaendelea kuwashitaki nyumba ya Israeli"
BWANA asema
Tazama 1:7
watoto wa watoto wenu
"kizazi chenu kijacho"
Kwa kuvuka kwenda hadi pwani ya Kitimu
"kusafiri kwa kuvuka bahari hadi kisiwa cha Kitimu"
Kitimu
Siprusi
Kedari
nchi iliyo mbali mashariki mwa Israeli
Je, taifa limebadilisha miungu ... miungu
"Mtaona kuwa hakuna taifa ambalo limebadilisha ... miungu"
haiwezi kuwasadia
"miungu ambayo haiwezi kuwasaidia"