16 lines
560 B
Markdown
16 lines
560 B
Markdown
# nyumbaya ya Yakobo na kila famila katika nyumba ya Israeli
|
|
|
|
"enyi kizazi chote cha Yakobo"
|
|
|
|
# Ni makosa gani ambayo ... nao si kitu?
|
|
|
|
"Sikufanya baya lolote kwa baba zenu, kwa hiyo wamenikoseakwa kutonitii na kuanza kuabudu miungu isiyo na kitu chochote na wao kuwa si kchochote!"
|
|
|
|
# si chochote
|
|
|
|
isiyo na thamani
|
|
|
|
# BWANA yuko wapi, ambaye alitutoa ... Misri? BWANA yuko wapi, ambaye alituongoza ...anayeishi humo?
|
|
|
|
"Tunapaswa kujifunza kujua kile ambacho BWANA anatutaka kufanya. Yeye ndiye aliyetuleta ... Misri naye ndiya alituongoza ...anayeishi humo."
|