|
# ndege wote safi
|
|
|
|
Mnyama ambaye Mungu usema anafaa kwa ajili ya watu wake kula husemwa kama mnyama aliye msafi kimwili.
|
|
|
|
# tai...tumbusi...kipungu...mwewe mwekundu na mweusi...kipanga.
|
|
|
|
Hizi ni ndege ambazo zinaweza kuamka usiku au kula wanyama wadogo na wanyama waliokufa.
|