phase 1 cleanup
This commit is contained in:
parent
569eda4567
commit
21b2270efc
|
@ -1,6 +1,7 @@
|
|||
# Abneri
|
||||
|
||||
Abneri alikuwa ni binamu wa Mfalme Sauli katika Agano la Kale
|
||||
|
||||
* Abneri alikuwa Jemedari mkuu wa jeshi la Sauli, na alimtambulisha kijana Daudi kwa Sauli baada ya Daudi kumwua Goliathi
|
||||
|
||||
# -inuka,inuka,inuka,inuka, inuka
|
||||
|
|
|
@ -5,6 +5,7 @@ Katika Agano la Kale, "Bwana Yahwe" mara kwa mara limetuika limerejea kwa Mungu
|
|||
# nyumba
|
||||
|
||||
Neno "nyumba" mara nyingi limetumika katika Biblia.
|
||||
|
||||
* Wakati mwingine linamaanisha "kaya," kurejea watu waishio pamoja katika nyumba moja.
|
||||
* Mara nyingi "nyumba" hurejea kwa ukoo wa mtu au ndugu wengine. Kwa mfano, kirai "nyumba ya Daudi" hurejea kwa koo zote za Mfalme Daudi.
|
||||
* Maneno "nyumba ya Mungu" na "nyumba ya Yahwe" hurejea kwa hema au hekalu. Haya maelezo pia unaweza kurejea kiujumla mahali Mungu alipo au makao.
|
||||
|
|
|
@ -13,5 +13,6 @@ Neno "Yahwe" ni jina binafsi la Mungu ambalo alijifunua wakati alipoongea na Mus
|
|||
# Yahwe wa majeshi, Mungu wa majeshi, jeshi
|
||||
|
||||
Maneno "Yahwe wa majeshi" na "Mungu wa majeshi" kidogo yanaonyesha kwamba mamlaka ya Mungu zaidi ya maelfu ya malaika wanaomtii.
|
||||
|
||||
* Neno "jeshi" au "majeshi" ni neno ambalo linarejea kwa hesabu kubwa ya kitu, kama jeshi la watu au namba kubwa ya nyota.
|
||||
* Katika Agano Jipya, kirai, "Bwana wa majeshi" inamaanisha kitu kile kile kama "Yahwe wa majeshi" lakini haiwezi kutafsiriwa kwa njia hiyo kwani neno la Kiebrania "Yahwe" halikutumika katika Agano Jipya.
|
||||
|
|
|
@ -1,15 +1,19 @@
|
|||
# Mana
|
||||
|
||||
Mana kilikuwa ni chakula cheupe cha nafaka ambacho Mungu aliwapatia Wana wa Israeli ili wale katika kipindi cha miaka 40 walioishi jangwaani baada ya kuwa wametoka Misri.
|
||||
|
||||
* Mana ilionekana kama vipande vyeupe vilivyoonekana juu ya nchi kila asubuhi katika umande. Ilikuwa na ladha tamu kama asali.
|
||||
* Waisraeli walikusanya mana kila siku isipokuwa siku ya Sabato.
|
||||
* Siku moja kabla ya Sabato Mungu aliwaambia waisraeli kukusanya mana mara mbili ili wasikusanye siku ya kupumzika.
|
||||
|
||||
Neno 'mana' lina maana ya ''Hiki ni nini?"
|
||||
|
||||
* Katika Biblia neno 'Mana' pia hurejelewa kama "Mkate kutoka mbinguni" na "nafaka kutoka mbinguni."
|
||||
|
||||
# Israeli, Waisraeli, taifa la Israeli.
|
||||
|
||||
Istilahi hii "Israeli" ni jina ambalo Mungu alimpa Yakobo. Lina maana ya "Alishindana na Mungu."
|
||||
|
||||
* Uzao wa Yakobo ulikuja ukajulikana kama "Watu wa Israeli," "taifa la Israeli''l au Waisraeli.
|
||||
* Mungu alifanya Agano na taifa la Israeli. Walikuwa ni watu wake wateule.
|
||||
* Taifa la Israeli liliundwa na makabila kumi na mawili. .
|
||||
|
@ -17,6 +21,7 @@ Istilahi hii "Israeli" ni jina ambalo Mungu alimpa Yakobo. Lina maana ya "Alishi
|
|||
# Kanaani, Wakanaani
|
||||
|
||||
Kanaani alikuwa ni mtoto wa Hamu, ambaye alikuwa ni mmoja kati ya wana wa Nuhu. Wakanaani walikuwa ni uzao wa Kanaani.
|
||||
|
||||
* Neno "Kaanani" au "nchi ya Kanaani" pia inarejelea sehemu ya nchi iliyo katikati ya Mto Yordani na Bahari Kuu (Meditraniani).
|
||||
* Nchi hii ilikaliwa na Wakanaani, pamoja na baadhi ya makabila mengine.
|
||||
* Mungu alimwahidi Ibrahimu kumpa nchi ya Kanaani na uzao wake, yaani Waisraeli.
|
||||
|
|
|
@ -17,6 +17,7 @@ Hii haikuwa Sabato ile ambayo waliishika kila juma katika siku ya saba. Hii ilik
|
|||
# yapasa mjinyenyekeze
|
||||
|
||||
katika jambo hili, kujinyeyekeza wenyewe kulimaanisha kwamba wasingeku
|
||||
|
||||
* la chakula chochote. Hii yweza kutmkwa wazi. : "Yapasa kujinyenyekeza wenyewe na msile kitu cho chote.
|
||||
|
||||
# siku ya tisa ya mwezi
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Huu ni msemo wa nahau unaomaanisha sehemu zote duniani. "sehemu zote duniani"
|
|||
# huvunja upinde ... huunguza ngao
|
||||
|
||||
Njia moja ambayo Yahwe atakomesha vita vyote kwa kuangamiza silaha ambazo majeshi hutumia kupigania.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Misemo hii miwili inamaana sawa na inasisitiza kuwa watu wa kila taifa duniani w
|
|||
# Yahwe wa majeshi yuko nasi; Mungu wa Yakobo ni kimbilio letu
|
||||
|
||||
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni sehemu ambayo watu wanaweza kwenda kwa ajili ya ulinzi.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Kupiga makofi inahiusishwa na sherehe. "Piga makofi kwa kusherehekea"
|
|||
# piga kelele kwa Mungu na sauti ya ushindi
|
||||
|
||||
piga kelele kwa Mungu na sauti za furaha." Hapa neno "ushindi" inamaanisha furaha inayohusiana na ushindi
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Mwandishi anamzungumzia Mungu kuyashinda mataifa kana kwamba Mungu alikuwa mfalm
|
|||
# Yahwe kwa sauti ya tarumbeta
|
||||
|
||||
Msemo huu uko sambamba na msemo uliopita. Kitenzi kinaweza kuwekwa kuweka wazi. "Yahwe ameenda juu wakati watu wakipuliza tarumbeta"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -1,4 +1,3 @@
|
|||
# Mwimbieni sifa Mungu, imbeni sifa; imbeni sifa kwa mfalme wetu, imbeni sifa
|
||||
|
||||
Msemo "imbeni sifa" unarudiwa kwa ajili ya msisitizo. "Mwimbieni, mwimbieni sifa Mungu; imbeni, imbeni sifa kwa mfalme wetu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Maana zinazowezekana ni kwamba watawala wa mataifa 1) "wanakusanyika mbele ya ma
|
|||
# ngao za ulimwengu ni za Mungu
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekana ni kwamba "ngao" 1) zinamaanisha vifaa vya vita. "Mungu ana uwezo zaidi ya silaha za wafalme wote dunia" (UDB) au 2) inamaanisha viongozi wa mataifa ambao wanazungumzia kama ngao ambazo zinalinda mataifa yao. "wafalme wa duniani wako chini ya Mungu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -37,4 +37,3 @@ Maana zinazowezekana ni kwamba msemo huu 1) unamaanisha mwelekeo wa kaskazini au
|
|||
# Mungu amejifanya kujulikana katika majumba yake kama sehemu ya kukimbilia
|
||||
|
||||
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni sehemu ambapo watu wanaweza kwenda kwa ajili ya usalama. "Mungu amejifanya kujulikana kama yule anayetoa usalama kwa watu katika majumba ya mlima Sayuni"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Mwandishi anazungumzia hofu ya wafalme kana kwamba ni mtu aliyesababisha wafalme
|
|||
# maumivu kama ya mwanamke mwenye uchungu wa kuzaa
|
||||
|
||||
Mwandishi anazungumzia hofu ya wafalme kana kwamba ni maumivu ambayo mwanamke hupitia wakati wa kuzaa na kuzungumzia maumivu haya kana kwamba ni mtu. "maumivu yaliwashika, kama mwanamke aliye katika uchungu wa kuzaa" au "wakaogopa, kama mwanamke anavyoogopa kupitia maumivu ya kuzaa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Misemo hii miwili inamaanisha Yerusalemu. "katika mji wa Mungu wetu, Yahwe wa ma
|
|||
# imarisha
|
||||
|
||||
"ifanye kuwa imara." Hapa neno "imarisha" linamaanisha kutunza na kufanya kitu kuwa salama.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Huu ni msemo wa nahau unaomaanisha sehemu zote duniani.
|
|||
# mkono wako wa kuume umejaa haki
|
||||
|
||||
Mwandishi anazungumzia haki kana kwamba ni kitu ambacho Mungu anaweza kushika mkononi mwake. Hapa neno "mkono" unamaanisha uwezo na mamlaka ya Mungu kutawala. "unatawala kwa haki" au "wewe ni mwenye haki unapotawala"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Mwandishi anazungumzia mlima Sayuni kana kwamba ni mtu anayeweza kufurahi. Msemo
|
|||
# acha binti wa Yuda wafurahi
|
||||
|
||||
Mwandishi anazungumzia miji ndani ya Yuda kana kwamba ni watoto wa Yuda. Msemo huu unamaanisha watu wanaoishi katika miji hio. "acha watu wanaoishi katika miji ya Yuda wafurahi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Misemo hii miwli ina usambamba. "Tembeeni kote mkiuzunguka mlima Sayuni"
|
|||
# angalieni vizuri
|
||||
|
||||
"angalieni kwa umakini"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@
|
|||
# hadi kifo
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekana ni 1) "hadi tufe" au 2) "milele."
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Mwandishi anazungumzia watu walio wanyonge au wasio wa muhimu katika jamii kama
|
|||
# tajiri na maskini pamoja
|
||||
|
||||
Kwa pamoja, maneno "tajiri" na "maskini" yanamaanisha watu wote, bila kujali mali. "watu wote"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Mwandishi anatumia wali hili kuweka mkazo kwamba hakuna sababu ya kuogopa vitu v
|
|||
# udhalimu unaponizunguka katika visigino vyangu
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekana ni 1) mwandishi anazungumzia hamu za uovu za adui zake kana kwamba ni mnyama anayewinda wanyama wengine aliye tayari kumpita. "wakati udhalimu wa watu wenye dhambi unapokuwa tayari kunishinda" au 2) adui wa mwandishi wanamzunguka wakati wanatenda udhalimu wao. "adui zangu wanaponizunguka"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Misemo yote hii inaeleza kuwa mtu hawezi kumpa Mungu fedha ya kutosha ya kuepuka
|
|||
# ukombozi wa maisha ya mtu ni gharama
|
||||
|
||||
"inagharimu sana kukomboa maisha ya mtu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Mwandishi anamaanisha watu wote kwa kuwataja wale walio na hekima nyingi zaidi n
|
|||
# mjinga
|
||||
|
||||
mtu ambaye hajui kitu
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@
|
|||
# wanaita ncho baada ya majina yao
|
||||
|
||||
"wanaita nchi zao kwa majina yao wenyewe." "wanamiliki nchi zao wenyewe"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Mwandishi anazungumzia hatima ya wapumbavu kana kwamba ni mwisho wao katika njia
|
|||
# lakini baada yao
|
||||
|
||||
"lakini baada ya kufa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Mwandishi anazungumzia kuzimu kana kwamba ni mtu aliye na nguvu juu ya wale wali
|
|||
# Mungu atakomboa maisha yangu
|
||||
|
||||
Hapa neno "maisha" linamaanisha mtu mzima. "Mungu atanikomboa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ neno "utukufu" hapa unamaanisha mali au utajiri. Maana zinazowezekana ni 1) "ata
|
|||
# utukufu wake hautamfuata chini
|
||||
|
||||
Msemo "kwenda chini" unamaanisha wakati mtu anapokufa. "utukufu wake hautamfuata atakapokufa" au "hatatunza sifa yake atakapokufa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Msemo huu unamaanisha kuishi kwa mafanikio kulingana na mtazamo wa kidunia. "fan
|
|||
# hawataona nuru tena
|
||||
|
||||
wale ambao "hawataona" ni mtu tajiri na mababu zake. Neno "nuru" inaweza kuwa inamaanisha jua au ni sitiari ya uhai. "hawataliona jua tena" au "hawataishi tena"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Maana zinazowezekana 1) "Sayuni, ambayo uzuri wake ni kamili" au 2) "Sayuni, mji
|
|||
# Mungu ameng'aa
|
||||
|
||||
Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni nuru inayong'aa. Hii inamaanisha Mungu kusababisha watu kujua kuhusu utukufu wake. "Utukufu wa Mungu unang'aa kama taa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Mwandishi anazungumzia moto kuunguza vitu kana kwamba ulikuwa ukiwala. "moto una
|
|||
# Huita mbingu juu na dunia
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekana ni 1) Mungu anawaita wote wanaoishi mbinguni na duniani kuwa mashuhuda akiwa anawahukumu watu wake au 2) Mungu anazungumza na mbingu na dunia kana kwamba ni watu, na anawaita kuwa mashahidi wakati anawahukumu watu wake.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -1,4 +1,3 @@
|
|||
# Mbingu zitatangaza
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekana ni 1) mwandishi anatumia neno "mbingu" kumaanisha malaika wanaoishi huko. au 2) mwandishi anazungumzia "mbingu" kana kwamba ni mtu anayeshuhudia kuhusu haki ya Mungu.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@
|
|||
# sadaka zako za kuteketeza daima ziko mbele yangu
|
||||
|
||||
Hii inaelezea kwa nini Mungu hawalaumu kwa ajili ya sadaka zao. Msemo huu " daima ziko mbele yangu" unamaanisha kuwa katika uwepo wa Mungu na unamaanisha kuwa watu wake daima wanatoa sadaka zao cha kuteketeza kwake. "huwa mnatoa sadaka zenu za kuteketeza kwangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Msemo "kwenye vilima elfu" haiwakilishi idadi kamili ya ng'ombe ambazo Mungu ana
|
|||
# Nawajua ndege wote
|
||||
|
||||
Hapa neno "nawajua" inadokeza umiliki. "Ninamiliki ndege wote"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Hii inaelezea kitu ambacho hakiwezi kutokea, kwa kuwa Mungu huwa hapati njaa.
|
|||
# Je! Nitakula nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi?
|
||||
|
||||
Mungu anauliza swali hili balagha kusisitiza kuwa huwa hafanyi hivi vitu na kwa hiyo haitaji sadaka zao. "Sili nyama ya mafahali au kunywa damu ya mbuzi."
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Mwandishi anazungumzia "nadhiri" kana kwamba ni fedha ambayo mtu analipa kwa Mun
|
|||
# katika siku ya shida
|
||||
|
||||
Hapa neno "siku" linamaanisha wakati wowote. "unapokuwa na taabu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Mungu anazungumzia watu waovu kutongoa maneno ya agano kana kwamba wanaweka agan
|
|||
# kutupa maneno yangu
|
||||
|
||||
Mungu anazungumzia watu waovu kukataa anachosema kana kwamba walikuwa wakitupa nje takataka. "kukataa ninachosema"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Misemo hii miwili ina maana moja lakini inatumia maneno tofauti. Mungu anawashta
|
|||
# Unakaa na kuzungumza
|
||||
|
||||
"Kukaa na kuzungumza" dhidi ya mtu inaashiria kuwa mtu huyu anawaza kwa makusudi vitu vibaya vya kusema kwa mtu. "Huwa unawaza namna ya kuongea"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Mungu anawazungumzia waovu kumkataa kana kwamba wamemsahau. "Anajizungumzia kati
|
|||
# nitawararua katika vipande
|
||||
|
||||
Mungu anazungumzia kuwaangamiza waovu kana kwamba ni simba anakula mawindo yake. "nitakuangamiza"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Mungu anazungumzia jinsi mtu anavyoishi kana kwamba ni njia ambayo mtu anasafiri
|
|||
# Nitaonesha wokovu wa Mungu
|
||||
|
||||
Hapa Mungu anazungumzia kumwokoa mtu kana kwamba ilikuwa ni kumsababisha mtu kuona wokovu wake. Anajizungumzia katika hali ya mtu wa tatu. "Nitamwokoa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -45,4 +45,3 @@ Kukubaliwa na Mungu kunazungumziwa kama kuwa msafi. Mungu huwafanya watu kukubal
|
|||
# nisafishe na dhambi zangu
|
||||
|
||||
Kukubalika kwa Mungu kunazungumziwa kama kuwa msafi. Mungu huwafanya watu kukubalika kwa kusamehe dhambi zao. "Nifanye kuwa msafi na dhambi yangu" au "nisamehe kwa dhambi yangu ili niwe msafi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Kutoweza kusahau dhambi zake inazungumziwa kana kwamba zilikuwa mbele yake wakat
|
|||
# na kufanya kilicho kiovu mbele yako
|
||||
|
||||
"na nimefanya kilicho kiovu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Kuwa mwenye dhambi inazungumziwa kama kuwa kwenye dhambi. "hata mama yangu alipo
|
|||
# unatamani uaminifu moyoni mwangu
|
||||
|
||||
Moyo unawakilisha kati ya 1) hamu za mtu au 2) mtu mzima. "Unataka nitamani uaminifu" au "unataka niwe mwaminifu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Kufikiria kuhusu dhambi za mtu inazungumziwa kama kuziona. Kusamehe au kukataa k
|
|||
# wekea doa udhalimu wangu
|
||||
|
||||
Kusamehe au kukataa kuwaza kuhusu dhambi inazungumziwa kama kati ya 1) kuziwekea doa au 2) kufuta kumbukumbu iliyoandikwa ya dhambi. "samehe dhambi zangu kama mtu anafuta kitu" au "samehe dhambi zangu kama mtu anayefuta kumbukumbu ya dhambi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Hapa "roho" inawakilisha mtazamo na hamu za Daudi. "fanya mtazamo wangu kuwa saw
|
|||
# Usiniondoe mbali na uwepo wako
|
||||
|
||||
"Usinilazimishe kwenda mbali na wewe." Kukataliwa na Mungu kunazungumziwa kama kulazimishwa kwendambali naye. "Usinikatae mimi kama mmoja wa watu wako"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@
|
|||
# watenda makosa ... watenda dhambi
|
||||
|
||||
Maneno haya mawili yanamaanisha watu wale wale.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Kuwa na uwezo wa kuongea inazungumziwa kama midomo kuwa wazi. Hapa kutoweza kuon
|
|||
# hupendezwi na sadaka ... hauna furaha na sadaka za kuteketeza
|
||||
|
||||
Hii inamaanisha kwamba Mungu anataka kitu cha muhimu zaidi ya hivi vitu. "Sadaka haitoshi kukupendeza ... unataka kitu zaidi ya sadaka za kuteketeza"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Kuta za mji huulinda mji na watu waliomo. Maana zinazowezekana ni 1) "utuwezeshe
|
|||
# watu wetu watatoa mafahali katika madhabahu yako
|
||||
|
||||
Fahali ni ng'ombe dume. Mafahali mara nyingi hutumika kama wanyama wa sadaka, kulingana na maagizo ya Mungu.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -41,4 +41,3 @@ Hapa ulimi unalinganishwa na wembe mkali ambao unauwezo wa kusababisha madhara m
|
|||
# Ulimi wako
|
||||
|
||||
Hapa "ulimi wako" unaashiria mtu ambaye Daudi anazungumza naye. "Wewe"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Daudi anaendelea kuzungumza na "mwanamme shujaa" wa 52:1
|
|||
# kudanganya kuliko kuzungumza haki
|
||||
|
||||
"unapenda kudanganya zaidi ya kusema kilicho sawa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Kuwa hai duniani inazungumziwa kana kwamba watu ni mimea yenye mizizi ardhini. M
|
|||
# Sela
|
||||
|
||||
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@
|
|||
# hakumfanya Mungu kuwa kimbilio lake
|
||||
|
||||
Hapa anayekimbiliwa inamaanisha mlinzi. "hakumfanya Mungu kuwa mlinzi wake" au "hakumwomba Mungu kumlinda"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Hii inamaanisha hekalu la Mungu
|
|||
# Nitasubiri jina lako, kwa sababu ni zuri
|
||||
|
||||
Jina la Mungu linamaanisha Mungu mwenyewe. Kumsubiri Mungu inaashiria kumsubiri Mungu kumsaidia. "Nitakusubiri, kwa sababu u mwema" au "Nitakusubiri unisaidie, kwa sababu u mwema"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Kumtafuta Mungu kama mtu inazungumziwa kama "kumtafuta" Mungu. Maana zinazowezek
|
|||
# Wote wamegeuka
|
||||
|
||||
Kumkataa Mungu na kilicho sawa kinazungumziwa kama kugeuka. "Wote wamegeuka kutokakufanya kilicho sawa" au "Wote wamemkataa Mungu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Kutawanya mifupa ya watu inamaanisha kuwaua na kuruhusu mifupa yao kubaki walipo
|
|||
# yeyote atakayeweka kambi dhidi yako
|
||||
|
||||
Kuweka kambi dhidi ya watu inamaanisha kuwashambulia. Majeshi ya adui yalikuwa yakisafiri na kuweka kambi na kuishi kwa muda karibu na watu waliotaka kuwavamia. "yeyote atakaye wavamia"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Misemo hii miwili ina maana moja.
|
|||
# Yakobo
|
||||
|
||||
Hapa "Yakobo" inamaanisha uzao wa Yakobo, Waisraeli.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -57,4 +57,3 @@ Kutafuta maisha ya mtu inamaanisha kujaribu kumuua. "wamejaribu kuniua" au "wana
|
|||
# hawajamuweka Mungu mbele yao
|
||||
|
||||
Kumweka Mungu mbele yao inaashiria kuwa makini na Mungu. "hawamzingatii Mungu" au "hawamjali Mungu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Adhabu inazungumziwa kana kwamba ilikuwa ni malipo. "Atafanya uovu kwa adui zang
|
|||
# katika uaminifu wako, waangamize
|
||||
|
||||
Hapa Daudi anabadilisha kutoka kuzungumza kumhusu Mungu na kuongea naye. "Mungu, waangamize kwa sababu wewe ni mwaminifu kwangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Jicho linamaanisha mtu. "Nimetazama"
|
|||
# jicho langu limetazama kwa ushindi juu ya adui zangu
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekana ni 1) kuona kuwa adui zake wameshindwa. "Nimeona kuwa adui zangu wameshindwa" au 2) kuwashinda adui zake. "Nimewashinda adui zangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Hapa "sauti" inawakilisha walichosema. "kwa sababu ya kile ambacho adui zangu wa
|
|||
# wanaleta shida kwangu
|
||||
|
||||
Kusababisha taabu inazungumziwa kama kuleta taabu. "wananisababisha kuwa na taabu kubwa" au "wanafanya vitu viovu kwangu na kwa hiyo nateseka"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Kuwa na hofu na kutetemeka kunazungumziwa kana kwamba hofu na kutetemeka ni vitu
|
|||
# kitisho kimenilemea
|
||||
|
||||
Kuhisi kitisho inazungumziwa kana kwamba kitisho ni kitu kinachoweza kuwafunika watu. "Ninahisi kitisho kibaya" au "Ninahofu sana"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Mshangao huu unaelezea kitu ambacho mwandishi anatamani sana. "Ninatamani sana n
|
|||
# Sela
|
||||
|
||||
Hili linaweza kuwa neno la kimuziki linalowaongoza watu jinsi ya kuimba au kujecheza vyombo hapa. Tafsiri zingine huandika neno hili la Kiebrania, na zingine haziliweki.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Kuangamiza kitu inazungumziwa kama kukila chote. Maana zinazowezekana ni "Angami
|
|||
# changanya lugha yao
|
||||
|
||||
"Lugha" hapa inawakilisha kile ambacho watu walikuwa wakiambiana, na inaweza kumaanisha hasa wao kuzungumzia mipango ya kufanya uovu. Kuwachanganya inawaklisha kuwafanya watu washindwe kuelewana. "wachanganye wanapozungumza pamoja" au "changaya mipango yao"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Dhuluma na uongo zinazungumziwa kana kwamba ni watu. "Watu hudhulumu na kuwadang
|
|||
# mitaa yake
|
||||
|
||||
Hii inaweza kumaanisha sehemu za masoko katika mji.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Neno "sisi" inamaanisha mwandishi wa zaburi na rafiki yake.
|
|||
# pamoja na umati
|
||||
|
||||
Maana zinazowezekan ni 1) "pamoja" au 2) "pamoja na kundi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Uovu unazungumziwa kana kwamba ni kitu kinachoweza kuwa sehemu fulani. Tabia ya
|
|||
# katikati yao
|
||||
|
||||
Msemo huu unawekea mkazo wazo la uovu kuwa karibu yao sana. Hapa uovu unazungumziwa kama kutokuwa tu kwenyenyumba zao, bali mahali walipo. "Huwa wanafanya vitu viovu popote walipo" au "popote walipo"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Hapa "maisha" inamwakilisha mwandishi wa zaburi. "mimi"
|
|||
# kwa kuwa wale waliokuwa wakipigana dhidi yangu walikuwa wengi
|
||||
|
||||
"kwa kuwa watu wengi walipigana dhidi yangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@
|
|||
# kuwaaibisha
|
||||
|
||||
"atawashinda na kuwaaibisha"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Maneno yanayosababisha shida kwa watu yanazungumziwa kana kwamba ni panga zinazo
|
|||
# panga zilizo chomolewa
|
||||
|
||||
Neno "chomolewa" hapa linamaanisha kuwa panga zimetolewa kwenye makasha yake tayari kwa kutumiwa.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -33,4 +33,3 @@ Hii inawakilisha kuwasababisha watu kufa. "utawasababisha waovu wafe" au "utawas
|
|||
# hata nusu ya urefu wa wengine
|
||||
|
||||
hata nusu ya urefu wa uhai wa wengine
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -33,4 +33,3 @@ Maana ya neno "michtamu" haieleweki. Hii inaweza kuandikwa kama: "Hii ni zaburi
|
|||
# Adui zangu wananikanyaga
|
||||
|
||||
Shambulio kali la adui linazungumziwa kana kwamba walikuwa wakitumia mwili wake kutembea. "Adui zangu wananishambulia sana"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Hapa swali linatumika kuonesha kuwa mwandishi wa zaburi haogopi watu, kwa sababu
|
|||
# mtu tu
|
||||
|
||||
"watu." Hii inadokezwa kuwa watu hawana nguvu, lakini Mungu ana uwezo.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Kuangalia kile ambacho mtu anafnya ili kuona jinsi ya kumsababishia shida inazun
|
|||
# kama tu walivyo subiri kwa ajili ya maisha yangu
|
||||
|
||||
Kusubiri kumua mtu inazungumziwa kama kusubiri maisha yake. "wanaposubiri kuniua"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Kujishughulisha kwa Mungu juu ya mwandishi wa zaburi inazungumziwa kana kwamba M
|
|||
# hazimo kwenye kitabu chako?
|
||||
|
||||
Kujishughulisha kwa Mungu juu ya mwandishi wa zaburi inazungumziwa kana kwamba aliandika idadi ya machozi ya mwandishi wa zaburi katika kitabu chake. Swali hili linatumika kumkumbusha Mungu jinsi anavyomjali sana mwandishi. "umeandika kuyahusu katika kitabu chako" au "unakumbuka machozi yangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Hii inamaanisha kuwa Mungu anamwonesha fadhila. Katika hali hii inadokezwa kuwa
|
|||
# Yeyote anaweza kunifanya nini?
|
||||
|
||||
Swali linatumika hapa kuonesha kuwa mwandishi wa zaburi haogopi watu, kwa sababu hawawezi kumuumiza sana. "Watu hawawezi kunifanya kitu!" au "Watu hawawezi kuniumiza vibaya!"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Kuishi na kuonwa na Mungu inazungumziwa kama kutembea mbele ya Mungu. "ili kwamb
|
|||
# katika nuru ya walio hai
|
||||
|
||||
Hapa "nuru ya walio hai" inaweza kuwa inawakilisha Mungu kuwawezesha watu kuishi. "na uhai unaotoa" au "kwa sababu unaniwezesha kuishi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -37,4 +37,3 @@ Mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni ndege anayelinda makinda yake kwa k
|
|||
# hadi uharibifu wake uishe
|
||||
|
||||
Mwandishi wa zaburi anazungumzia hamu ya Sauli kumuua kana kwamba Sauli alikuwa akitafuta kumwangamiza adui. "hadi shida hii iishe" au "hadi nitakapo kuwa siko hatarini tena"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Mashambulizi makali ya adui yanazungumziwa kana kwamba yalikuwa wakikandamiza mw
|
|||
# Mungu atanitumia upendo wake wa huruma na uaminifu wake
|
||||
|
||||
Huruma na uaminifu wa Mungu unazungumziwa kana kwamba anatuma huruma yake na uaminifu wake. "Mungu atakuwa na huruma kwangu na mwaminifu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Mwandishi anamwomba Mungu kuonesha kuwa ameinuliwa. Kuinuliwa juu ya mbingu inaw
|
|||
# acha utukufu wako uwe juu ya dunia
|
||||
|
||||
Mwandishi wa zaburi anamwomba Mungu kuonesha utukufu wake. "onesha utukufu wako duniani kote"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Mipango ya adui zake kumshika inazungumziwa kana kwamba walichimba shimo kwa aji
|
|||
# Wao wenyewe wameanguka katikati yake
|
||||
|
||||
Madhara yaliyokuja kwa adui zake walivyojaribu kumnasa inazungumziwa kana kwamba walianguka kwenye mtego walioandaa kwa ajili yake. "Wao wenyewe walianguka katika shimo walilochimba kwa ajili yangu" au "Lakini wao wenyewe waliumizwa kwa kile walichojaribu kufanya kwangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Mwandishi anazungumza kana kwamba kinanda na kinubi ni watu wanaoweza kuimba sif
|
|||
# Nitauamsha alfajiri
|
||||
|
||||
Alfajiri inazungumziwa kana kwamba iko hai, na kuamka kabla ya alfajiri inazungumziwa kama kuuamsha. Lengo la kuamka kabla ya alfajiri ni kumsifu Mungu. "Nitaamka kabla ya alfajiri" au "Nitaamka kabla jua halijachomoza"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Mwandishi anamwomba Mungu kuonesha kuwa ameinuliwa. Kuinuliwa juu ya mbingu inaw
|
|||
# utukufu wako uinuliwe juu ya dunia wote
|
||||
|
||||
Mwandishi wa zaburi anamwomba Mungu kuonesha utukufu wake. "onesha utukufu wako juu ya dunia yote"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -45,4 +45,3 @@ Moyo unawakilisha mawazo au mipango ya watu. "mnatenda uovu katika mawazo yenu"
|
|||
# unasamba vurugu katika nchi nzima kwa mikono yako
|
||||
|
||||
Kufanya vurugu katika sehemu mbali mbali katika nchi inazungumziwa kama kusambaza vurugu kwenye nchi, kana kwamba vurugu ni aina fulani ya kitu. "nyie wenyewe huwa mnafanya matendo ya vurugu kila sehemu katika nchi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ watu wanaocheza au kuimba muziki ili kumwongoza nyoka
|
|||
# haijalishi ujuzi wao ulivyo
|
||||
|
||||
"haijalishi ujuzi walionao waganga katika kumwongoza nyoka"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -25,4 +25,3 @@ Kutokuwepo tena inazungumziwa kama kuyeyuka na kupotea. "Acha waovu wapotee kama
|
|||
# kama mtoto wa mwanamke aliyezaliwa kabla ya muda ambaye hajaliona jua
|
||||
|
||||
Kutokuwepo kunazungumziwa kama kuwa kama mtoto anayezaliwa akiwa amekufa. "kama mtoto anayezaliwa mapema sana kuishi na kuona mwanga wa jua" au "kama mtoto alizaliwa akiwa amekufa"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Kuloanisha miguu ya mtu kwa kutembea kwenye damu inazungumziwa kama kuosha miguu
|
|||
# ataosha miguu yake kwenye damu ya waovu
|
||||
|
||||
Idadi kubwa ya watu waovu wanaokufa inaelezwa kwa kutumia kukuza kwa neno la watu wenye haki kuosha miguu yao katika damu ya watu waovu. "watu wengi sana waovu watakufa hadi wenye haki watakapotembea kwenye damu yao, itaonekana kana kwamba wanaweza kuosha miguu yao humo"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -33,4 +33,3 @@ Kuinuka dhidi ya mtu inawakilisha kumshambulia. "wananishambulia"
|
|||
# watu wenye kiu ya damu
|
||||
|
||||
""watu wenye hamu ya kuua" au "watu wanaopenda kuua watu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ Kuamua kufanya kitu na kuanza kukifanya inazungumziwa kama kuamka. "fanya kitu"
|
|||
# na uone
|
||||
|
||||
"na tazama kinachotokea kwangu" au "na uone wanachonifanyie mimi"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Kuamua kufanya kitu na kuanza kukifanya inazungumziwa kama kuamka. "fanya kitu"
|
|||
# mataifa yote
|
||||
|
||||
Neno "mataifa" hapa yanawakilisha watu wa mataifa ambao hawamtukuzi Mungu. "watu wa mataifa yote"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -29,4 +29,3 @@ Vitu vya ukatili ambavyo watu waovu walikuwa wakisema vinazungumziwa kana kwamba
|
|||
# Nani anatusikia?
|
||||
|
||||
Swali hili linatumika kuonesha kuwa waliamini kuwa Mungu hatawasikia na kuwaadhibu. "Hakuna mtu anayetusikia!" au "Mungu wenu hatusikii!"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Mungu kuwa nguvu ya mwandishi wa zaburi inawakilisha Mungu kumlinda. "wewe ni ng
|
|||
# wewe ni mnara wangu wa juu
|
||||
|
||||
Mnara wa juu ni sehemu ambapo watu wanaweza kwenda kwa ajili ya kivuli kutoka kwa adui zao. Mwandishi wa zaburi anamzungumzia Mungu kumlinda kana kwamba Mungu ni kivuli imara na salama. "unanilinda kama mnara wa juu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -13,4 +13,3 @@ Mungu kumwokoa mwandishi wa zaburi inazungumziwa kana kwamba Mungu alikuwa anata
|
|||
# ngao yetu
|
||||
|
||||
Mungu kumlinda mwenye haki inazungumziwa kana kwamba Mungu ni ngao. "mlinzi wetu" au "yule anyetulinda kama ngao"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Yakobo hapa inamaanisha Israeli. "katika Israeli"
|
|||
# hadi mwisho wa dunia
|
||||
|
||||
"hadi sehemu za mbali zaidi duniani." Hii inawakilisha sehemu zote duniani. "sehemu zote duniani"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Mwandishi anazungumzia adui zake kutishia kushambulia watu kana kwamba ni mbwa w
|
|||
# ridhika
|
||||
|
||||
"tosheki"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Minara ya juu na sehemu za kukimbilia ni mahali ambapo watu wanaweza kwenda kwa
|
|||
# Mungu wa agano la umanifu
|
||||
|
||||
Hii inaweza kuelezwa katika sentensi tofauti. "Yeye ni Mungu wa agano la uaminifu" au "Wewe ni Mungu wa agano la uaminifu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -37,4 +37,3 @@ Mungu kuwakataa watu inazungumziwa kana kwamba amewatupa. "umetukataa"
|
|||
# umevunja kwenye ulinzi wetu
|
||||
|
||||
Mungu kuwaruhusu adui wa Israeli kuvunja kwenye ulinzi wao inazungmziwa kama Mungu mwenyewe amefanya hivyo. "umewaruhusu adui zetu kuvunja kwenye ulinzi wetu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Hapa "tazama" inawakilisha "kupitia" au "kuteseka"
|
|||
# kunywa divai ya kupepesuka
|
||||
|
||||
"divai inayotufanya tupepesuke." Kutojiweza inazungumziwa kama kupepesuka, kushindwa kusima wima vizuri.
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -21,4 +21,3 @@ Mkono wa kuume wa Mungu unaashiria nguvu. "kwa nguvu yako"
|
|||
# nijibu
|
||||
|
||||
Kumjibu hapa inawakilisha kuitikia ombi lake. "itikiaombi langu" au "jibu ombi langu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -9,4 +9,3 @@ kofi ngumu ambayo askari huvaa kulinda kichwa chake dhidi ya ajali
|
|||
# Yuda ni fimbo yangu
|
||||
|
||||
Mungu alichagua wanaume kutoka kabila la Yuda kuwa wafalme wa watu wake, na anazungumzia kabila hilo kana kwamba ni fimbo yake. "kabila la Yuda ni kama fimbo yangu" au "Yuda ni kabila ambalo natawalia watu wangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -5,4 +5,3 @@ Mungu anazungumzia Moabu kutokuwa muhimu kana kwamba Moabu ni bakuli la kunawia
|
|||
# juu ya Edomu nitarusha kiatu changu
|
||||
|
||||
Inawezekana Mungu alikuwa akizungumzia kuimiliki Edomu kana kwamba anatupa kiatu kwa ishara katika nchi kuonesha kuwa inaimiliki. Ingawa tafsiri zingine hapa ziko tofauti. "Ninachukua umiliki wa nchi ya Edomu" au "Ninatupa kiatu changu katika nchi ya Edomu kuonesha kuwa ni yangu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -17,4 +17,3 @@ Mwandishi anazungumzia Mungu kusaidia jeshi lao kana kwamba Mungu huwa anapigina
|
|||
# atawakanyaga chini adui zetu
|
||||
|
||||
Mwandishi anazungumzia Mungu kusaidia jeshi lao kuwashinda adui zao kana kwamba Mungu alikuwa akiwakanyaga adui zao. "atatusaidia kuwakanyaga chini adui zetu" au "atatuwezesha kuwashinda adui zetu"
|
||||
|
||||
|
|
|
@ -37,4 +37,3 @@ Maneno yanayodokezwa "unaonilinda" yanaweza kuongezwa. "umekuwa kama mwamba imar
|
|||
# mnara imara
|
||||
|
||||
Hapa mwandishi anamzungumzia Mungu kana kwamba ni "mnara imara" unaotoa ulinzi dhidi ya adui zake.
|
||||
|
||||
|
|
Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More
Loading…
Reference in New Issue