sw_tn/exo/22/07.md

28 lines
546 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# amtunzie
"kuangaliza" au "kuweka salama"
# kama itaibiwa
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# mwizi
mtu anaye iba
# kama mwizi akipatikana
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
# kuja mbele za waamuzi
"kuja mbele za waamuzi ili waweze jua kama"
# ameeka mkono wake kwenye mali za jirani yake
Huu ni msemo. Kama namna ya kusema hivi katika lugha yako, waweza sema hapa.
# malalamiko ya pande zote lazima zije kwa waamuzi
Waamuzi lazima wasikilize watu wote wawili wanao dai vitu ni vyao na waamuzi wataamua nani ana hatia.