# amtunzie "kuangaliza" au "kuweka salama" # kama itaibiwa Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # mwizi mtu anaye iba # kama mwizi akipatikana Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji. # kuja mbele za waamuzi "kuja mbele za waamuzi ili waweze jua kama" # ameeka mkono wake kwenye mali za jirani yake Huu ni msemo. Kama namna ya kusema hivi katika lugha yako, waweza sema hapa. # malalamiko ya pande zote lazima zije kwa waamuzi Waamuzi lazima wasikilize watu wote wawili wanao dai vitu ni vyao na waamuzi wataamua nani ana hatia.