sw_tn/rom/12/14.md

16 lines
381 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Muwe na nia moja ninyi kwa ninyi
"Mkubaliane ninyi kwa ninyi" au "muishi kwa umoja ninyi kwa ninyi"
# Msifikiri kwa njia ya kujivuna
"Msifikiri kuwa ninyi ni bora sana kuliko wengine"
# Muwakubali watu wa hali ya chini
"Wakaribisheni watu mnaoona hawana umuhimu"
# Msiwe na hekima juu ya mawazo yenu wenyewe
"Msifikiri kuwa ninyi mna hekima nyingi kuliko mtu yeyote yule"