# Muwe na nia moja ninyi kwa ninyi "Mkubaliane ninyi kwa ninyi" au "muishi kwa umoja ninyi kwa ninyi" # Msifikiri kwa njia ya kujivuna "Msifikiri kuwa ninyi ni bora sana kuliko wengine" # Muwakubali watu wa hali ya chini "Wakaribisheni watu mnaoona hawana umuhimu" # Msiwe na hekima juu ya mawazo yenu wenyewe "Msifikiri kuwa ninyi mna hekima nyingi kuliko mtu yeyote yule"