Paulo anaelezea kwamba sheria ya Musa haifai tena. Ingawa hii ni kweli, kanuni zisizo na wakati kwenye sheria zinaonyesha tabia ya Mungu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/lawofmoses]])
Maandiko ya kawaida hutumia ndoa kama mfano. Hapa Paulo anaitumia kuelezea jinsi kanisa linavyohusiana na sheria ya Musa na sasa kwake Kristo. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]])
Hili ni suala gumu. Kuna uwezekano kuwa "Mwili" ni mfano ya asili yetu ya dhambi. Paulo hafundishi kwamba miili yetu ya kimwili ni dhambi. Inaonekana kuwa Paulo anafundisha kwamba wakati wote Wakristo wanaishi ("katika mwili"), tutaendelea kutenda dhambi. Lakini asili yetu mpya itapigana dhidi ya asili yetu ya zamani. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/flesh]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/sin]])