sw_tn/lev/08/08.md

20 lines
657 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akaweka kifuko kifuani mwa Aroni
"Musa aliweka kifuko juu ys |Aroni"
# kifuko kifuani..kiremba...bamba la dhahabu... taji takatifu
Haya yote ni mavazi maalum ambayo Yahweh aliwaamru watu kutengeneza kwa ajili ya makuhani.
# Urimu na Thumimu
Hivi havikujulikana wazi vilikuwa ni vitu gani. Vilikuwa vitu ambavyo kwa kuhani alivitumia kwa namna fulani kupambanua mapenzi ya Mungu.
# kiremba
kifuniko cha kicho cha mtu ambapo kilikuwa ni kitambaa cha nguo kirefu kilichofungwa kukizunguka kichwa
# bamba la dhahabu; liwe taji takatifu
Virai hivi viwili hurejelea kitu kile kilekile. Lilikuwa ni mamba la dhahabu tupu lililoambatanishwa na kiremba.