# akaweka kifuko kifuani mwa Aroni "Musa aliweka kifuko juu ys |Aroni" # kifuko kifuani..kiremba...bamba la dhahabu... taji takatifu Haya yote ni mavazi maalum ambayo Yahweh aliwaamru watu kutengeneza kwa ajili ya makuhani. # Urimu na Thumimu Hivi havikujulikana wazi vilikuwa ni vitu gani. Vilikuwa vitu ambavyo kwa kuhani alivitumia kwa namna fulani kupambanua mapenzi ya Mungu. # kiremba kifuniko cha kicho cha mtu ambapo kilikuwa ni kitambaa cha nguo kirefu kilichofungwa kukizunguka kichwa # bamba la dhahabu; liwe taji takatifu Virai hivi viwili hurejelea kitu kile kilekile. Lilikuwa ni mamba la dhahabu tupu lililoambatanishwa na kiremba.